Friday, June 1

Sha-toa damu kusaidia mama, kusaidia mtoto!

...kama nilivyoaihidi, nilifika, nikajotolea damu kidogo...hope itasaia angalau mama mmoja au mtoto mmoja anayehitaji...

 ...Nilikua na mfanyakazi mwenzangu, Bansri. Wote tulikua first time donors! Hapa anachukuliwa taarifa zake.

bofya hapo kushoto, kuona zoezi zima...


...wakipima kama nna damu ya kutosha... 

 ....Bansri akijitayarishwa kutolewa damu...mie nilichelewa, as BP ilikua chini, nikanywa soda ili iwe normal...

...big smile, kujitolea kama hivi feels good!


...mfuko unakariia kujaa... 


...wafanyaazi wa Exim Bank pamoja na wateja wao walikuwa kibao...zoezi lilizidi kadirio, la watu mia, maana tulikua wengi zaidi. 

...kazi kwishney!
 
...hata wakaka walitoa nao...

...baada ya BP kuwa normal, nikaruhusuwa kutoa...kisindano kinauma!!! 

here it is... Thanks Exim Bank kwa kuendesha kampeni, leo nimetoa damu kwa mara ya kwanza...n it feels good!
Ni muhimu kujitolea damu, mahitaji ni mengi sana, naskia benki yetu ya damu ina 40% ya mahitaji tu!

No comments: