Saturday, June 2

Huwa unaangalia gari kabla ya kuondoka?


Sidhani kama hii picha ni kweli (huyo mpiga picha aache kum-save mtoto awe bize kupiga picha????) ila ukweli ni kwamba ajali kama hizi huwa zinatokea...tena wikend tunapoondoka wakati washaamka, na hawaendi shule, wapo home tu!
Simple thing to do ni kuzunguka gari lako, na kuliangalia kote, hadi uvunguni kuhakikisha hamna kitu, au mtoto anacheza...isije ikawa balaa!
Hasa sie wanawake huwa tunajua kuwasha na kuweka mafuta, gari inatakiwa ikaguliwe kila asubuhi kwa usalama wake gari, na usalama wetu pia.

1 comment:

jamam said...

Jamani nimepatwa na uchungu siwezi kusimulia, inanikumbusha kuna baba alikuwa anarudisha gari akilitoa garage bila kujua kama mtoto wake wa kumzaa aliyemuacha ndani alitoka akazunguka nyumba ya gari, palepale mtoto alikufa bila kupiga kelele