Thursday, August 16

Jumatatu nilifutarishwa na shule ya X

Jumatatu hii nimefutarishwa shuleni kwa Xchyler. Hii ni baada ya kuomba wadau wa kunialika futari na kukosa na mwezi ndio unakaribia kuisha....
Wanasema when in Rome do as the Romans do, so nilitoka ki-ustaadha haswa!
Nilienda na Pendo, usione tunarembua, mie nilikua full mafua...Pendo, labda uchovu tu!


Hapa niko na mwenyeji, Ms Bushra, headmistress wa Feza Nursery... 

...teachers na sie wazazi tulipozi pamoja baada ya futari tamu ya kituruki...
Thanks teachers for inviting us, it was great!

1 comment:

Mariam said said...

masahaalah umependeza mwenyewe...kweli futari noma...sasa sijui mam x2 ushungi na hilo baibui uliutoa wapi yakhe...!umewafunuka mpka wenyewe