Tuesday, October 2

Happy 1st Birthday Cleopatra
Today My Beautiful, Princess, Malkia na kila jina zuri linalomfaa anatimiza Mwaka Mmoja.
 Yeye ndiye furaha yangu na moyo wangu wote upo kwake malkia wa Moyo wangu. Hata ninapokuwa na huzuni daima yupo pembeni yangu kuni comfort, ninapokuwa na hasira nikimuona yeye tu uso wangu hujaa tabasamu na kusahau yote na maisha kusonga mbele.

Cleopatra my daughter, you means a lot to me my love. Kupitia kwako nimejua na kutambua thamani ya kuwa mama katika Dunia hii. Kila lenye kheri likufike mwanangu. 

NAKUPENDA SANA MY PRINCESS

1 comment:

Anonymous said...

Happy birthday 2 her jaman mungu amjalie afya njema na akue salamaaa.