Saturday, May 1

Junior anawapa hi!

Mdau mcuuuute, Junior toka maeneo ya Soweto, huko A city anawapa hi.

 Hii stroller ni ya ukweli!

1 comment:

Veila said...

Hongera mama Junior.Mtoto mzuri jamani.Atimae Sarah unaitwa mama loh!!!!!!!!!!!!.