Monday, October 1

Birthday ya Mohamed ilivyokuwa

 Alisindikizwa na Cleopatra. Ilikuwa jana tarehe 30.09.2012

 Mama mtu alikuwa busy.

 Waliona kisu kinawachelewesha mkono ukachukua nafasi yake.
 Baba na mama mtu pamoja na watoto. Style ya kula keki ndo ilikuwa kama mnavyoona mdomoni mwa Cleopatra.

 Wadau wakimwimbia.
 Niliwakilishaaaaaaaaaa.


Ni maswahiba hawa watoto toka wapo tumboni hahahaha.

Mama na mwana inamtakia Muddy maisha marefu. Akue na kuongezeka imani.

No comments: