Saturday, December 22

KUTANA NA CARINE in 2012

Siku ya Birthday yake ya kutimiza miaka mitatu. 
Hapa akimtafakari MUNGU  juu ya siku yake kuzaliwa. Ni upendo wa ajabu sana kufika miaka 3. Ni zawadi ya pekee kwake toka kwa Mungu.
Hapa akimlisha keki Mama yake mpenzi.
Carine anasema kuwa anawapenda wadau wote wa Mama na Mwana ila yeye mwenzenu eti Kila siku mama anamdanganya sasa leo kanuna anasema hatoki hapo hadi arudi kutoka kazini. Ndo akaangalie katuni zake.

Carine anasema akiwa mkubwa napenda sana kuwa muogeleaji mahiri. Hivyo ameshaanza mazoezi na anawakaribisha wadau mjifunze kuogelea kwani maji ni mazuri mno ukiyawezea. "Hapa ni Morogoro Hotel ambapo mama yangu alinileta kuja kujifunza kuogelea".
Caren anasema anawapenda sana wadau wote.
MamanaMwana inamtakia Carine maisha mema aumalize 2012 salama na auanze 2013 akiwa bukheri wa afya.
TUNAKUPENDA PIA CUTE CARINE

No comments: