Saturday, December 29

Patra at Kijiji Beach


 

 Akicheza mpira wake.

 Baada ya kushushwa kwenye maji baharini aliogopa mno. Kilio kilimtoka

Mama na Mwana
 Baba na Mwana

 Hapa alikuwa anacheza Azonto. Hadi nilikuwa naona aibu alivyokuwa anakinyongesha.
Kampa mama kiuno.
 Akiwa katika zunguka zunguka akapishana na Chef.

 Alifurahi sana kuwaona watu kwenye swimming pool naye akajitosa.

 Akanywa kikombe chake kimoja akatoka.
 Mama na Mwana ilipishana na huyu mdau, yeye alikuwa anabinuka sarakasi mchangani.
Now am Happy.

No comments: