Thursday, December 20

Toto escorting mama to work

Dah utoto bwana raha sana. 
Wakati mama anaondoka kwenda kazini watoto wengi huwalilia. 
Hii ilikuwa pia kwa Patra.
Yeye akiona tu nishabeba handbag huanza kulia na kunifata nimbebe, lakini furaha yake nimbebe nitoke nae hadi nje ya geti ndipo aniage huona raha japo siku nyingine kama nina haraka huwa nampotezea. Ila utaratibu wa kunisindikiza ndo ulimfanya aache tabia ya kujiliza. Wananisindikiza hadi kituoni kisha wanarudi nyumbani ndogondogo.
Leo pia nilisindikizwa.
Mcheki 


Mswaki ni kitu chake cha kwanza kukumbuka mara tu baada ya kuamka. 
Leo alichelewa kuamka hivyo alichelewa kuswaki. 
 Zaidi Bonyeza hapo kushoto


 Akiwa na dada yake. Anampenda mno.

 Bye.


Bye Bye mama. See you baadae

No comments: