Monday, November 17

Patricia Amepata Kadigirii ka Kwanza!


Patricia Mabeyo siku ya graduation iliyofanyika mwezi September, St. Columbus Nursery School.


Ushawahi sikia wapi graduation bila mashada?


Patricia na wanafunzi wenzake.


Patricia na mama yake, Nelly Mtema.


Keki lazima isindikizie!

No comments: