Monday, November 24

Ugunduzi Anaoleta Mtoto

Love at First Sight!


Joyce Macha na kipenzi chake cha ukweli, Davis, mara baada ya kujifungua.

Unagundua kuwa kweli kuna Love at First Sight!
Mtu humjui wala hujawahi kumuona, ila ulipomtia machoni kwa mara ya kwanza, ulimpenda sekunde hiyohiyo!

1 comment:

Anonymous said...

Mtoto mzuri sana huyu, yani anaonekana ametuliaa, kama malaika.