Thierry Mukanda Murunga mtoto wa mtangazaji maarufu wa EATV, Josh Murunga (pia producer wa vipindi vingi kwenye TV hiyo, including Planet Bongo) anatufungulia Celeb Toto ya hapa bongo. Mama yake ni Janeth Mushi. Huyu mtoto anaonekana mtundu kama baba yake, yani hapa ana miezi mitatu tu!
1 comment:
Janet na Josh hongereni, si haba anakua haraka huyo! Mungu amtangulie!
Post a Comment