Mimi Kelvin Pongo nawatakia heri na mwaka mpya watoto wenzangu woote bila kumsahau Xchyler Mapunda, wazazi wangu Mr &Mrs Pongo, bibi Modestar Livigha nampenda sana alinipa zawadi nzuri siku ya ubatizo, babu na bibi Mr & Mrs Pongo. Baba yangu mdogo kulwa (blac), Mama mdogo Esther Lugome, Mama mkubwa Mr & Mrs Lumato na Magreth Christian, ndugu na jamaa wote nawatakia mwaka mpya njema .asante aunt kwakuweka picha za baby wangu kwenye blog.ujumbe wa mwaka mpya wazazi wapelekeni watoto shule waliofikia muda wakuanza shule.Chaoooo!!!!!
2 comments:
I like your blog
Good Blog, I think I want to find me, I will tell my other friends, on all
Post a Comment