Mimi Xchyler Mapunda nawatakia heri ya Mwaka Mpya 2009 watoto wenzangu woooote, ambao ndio wadau wakuu wa glob hii ya watoto.
Pia nawatakia heri ya Mwaka Mpya wazazi wao, na ndugu zao wengine wooote wanaiisapoti glob hii.
Nawatakia heri ya Mwaka Mpya Anti na Anko zangu bila kusahau ndugu, jamaa na marafiki wengine wooote pamoja na wale niliowapata niliowapata kupitia glob hii.
Salamu pia ziwafikie bibi na babu zangu, Mr & Mrs Alipo wa Chang'ombe na Mr & Mrs Mapunda wa Mbinga.
Na mwisho kabisa nawatakia heri ya Mwaka Mpya mama na baba yangu, Mr & Mrs Mapunda wa Kijitonyama.
Nawapenda woooote.
Have a Prosperious 2009.

3 comments:
where you come from!
I will pass on your article introduced to my other friends, because really good!
jamani xchyler sio GLOB ni BLOG
Post a Comment