Monday, December 8

Ubatizo - Brian


Brian Kamugisha (miezi mitatu) akila pozi mara baada ya kutoka kanisani, KKKT Gide, Kimara, alikobatizwa rasmi jana.
  • Jumapili ya jana ilikua siku ya ubatizo na vipaimara, kama umekosa pilau hiyo usiwe na wasiwasi, leo Eid-el Hajj, pilau na biriani kwa wingi.
  • Nitumieni hizo picha za ubatizo, vipaimara na Eid kwenye mamamnamwana@gmail.com tuone watoto walivyopendeza.

No comments: