Saturday, January 3

Baba na Mwana - Thierry na Josh

Thierry Mukanda Murunga akiwa na baba yake Josh Murunga (mtangazaji wa EATV, pia producer wa vipindi vingi kwenye TV hiyo, including Planet Bongo). Kwa jina kama hili, hatuna shaka wewe ni ARSENAL damu, sijui nae huyu atakuwa striker? Mnaojua kugundua vipaji tangu mapema mnasemaje kuhusu hiyo miguu ye Thierry Murunga?

2 comments:

Anonymous said...

Oh he is just adorable!

shamim a.k.a Zeze said...

Wow!! congrats Josh ..yaani hapa ni full kuturingishiaaa