Mtoto Francis Robert akishika mshumaa na kumwangalia Pdre kwa makini siku alipopata ubatizo kanisa la Roman Katholic Segerea.
Hapa akiwa amebebwa na baba yake wa ubatizo, Magessa Luyela akiwa pamoja na mama yake wakifurahia mshumaa.
Hapa akiwa amepakatwa na bibi yake mmoja, huku bibi mwingine akiwa amekaa pembeni kulia na kushoto ni baba yake, Robert.
Hapa akiwa amepakatwa na bibi yake mmoja, huku bibi mwingine akiwa amekaa pembeni kulia na kushoto ni baba yake, Robert.
No comments:
Post a Comment