Bado niko kwenye mshtuko wa furaha baada ya kusikia habari njema kuwa modo wetu wa 'Ujauzito Dalili', Regina Kumba, usiku wa kuamkia leo amejifungua mtoto wa kike, pale Aghe Khan Hospital.
Wadau wote wa Mama na Mwana tunawatakia pongezi na afya njema mama na mtoto mpya.
Picha za mtoto comming soon.
Hongera Regina.
4 comments:
Hongera Regina!
Nimefurahi sana kusikia habari hii njema, maana dah! kila nilipokuwa nakuona nikawa najiuliza endapo utamaliza wiki hii.
Hongera mno!
Hongera dear,nakutakia afya njema wewe na mwanao,tunasubiri picha za mtoto especially day one!
Hongera kwa Da Regina na asante kwako Dada J i wa na umbuhimun g.bloguzazidikuwanaumuhimun auelimishaji uutoao humu kwa hakika ni kwa manufaa kwa wengi. Basi na tuziendeleze changamoto hizi za kuwaelimisha, kuwaburudisha na kuwakomboa wegni kwa nyenzo hizi tulizojaaliwa kuwa nazo. Kazi nzuri, kazi njema na Baraka kwako na Xchyler pia.
Congrats Regina! All the best to you and your baby....soorry and your husband!!! Hongereni sana.
Post a Comment