Wednesday, May 13

34

Thelethini na nne (34) ni namba ya watoto wanaozaliwa kila dakika nchini China, sasa piga picha kama saa in dakika 60, na siku ina saa 24 jumla watoto wanaozaliwa china kila siku ni wangapi?
Hesabu yangu ya haraka haraka inaniambia ni 48,960, sijui Tanzania ni wangapi?

No comments: