Thursday, May 14

Happy Birthday Jayson

Cutee jayson James alizaliwa siku kama ya leo, mwaka jana.
Hongera Jacq na James.
Wadau woote wa Mama na Mwana tunampongeza Jay kwa kutimiza mwaka na tunazidi kumuombea kwa Mungu aishi hadi miaka mia na moja (101).

3 comments:

Anonymous said...

huyu jayson msichana au mvulana, sura ya kike jina la kiume,. cute baby though

Anonymous said...

jamani huyu mtoto msichana au mvulana, naona kama jina la kiume sura yakike, au ni ushamba wangu wa majina

Jiang said...

Yes cute baby, very cute, na baba na mama yake wanaelekeana, so hata sijui amefanana na nani. Getting back to the question maana watu wawili mmeuliza, Jayson ni M-KAKA.