Wednesday, May 13

Kula ni Muhimu

Prince akipata dozi yake ya maziwa ya jioni toka kwa mama.
*****
Watu wote tunajua kuwa mwili haujengwi kwa matofali, na pia tukumbuke kwamba pia haulindwi na wamasai wala Knight Support, kula ni muhimu sana kwa mtoto, ila iwe lishe bora sio bora lishe, watoto wengi hawapendi kula, so mlazimishe ale hata kama ni mlo mdogomdogo mara nyindi kwa siku, lakini usimwache anadhoofu kwa kusema mbishi sana kula.
Pia unene uliopitiliza sana haufai, mwili wa wastani kama Prince hapo ni mzuri.
Posted by Picasa

3 comments:

Anonymous said...

Naomba kuja jina la mwano linatamkwa vipi?

Anonymous said...

we una lako jambo unajua kabisa mama mtu matamshi yake si mazuri

Anonymous said...

jina linatamkwa pirinisi au pirisi!!!! Joke