Thursday, May 21

Prince & Franco

Hapa lazima Prince alikua anadakwa asiende sehemu isiyotakiwa, maana mtoto akishaanza kutambaa ndio macho yote kwake saa zote, akiwa anakimbia kwa wale wanaopenda kupunguza mwili kumkimbiza nyimba nzima ni zoezi tosha.
Posted by Picasa

1 comment:

Anonymous said...

Hapa kazi ipo Jiang.Wadau,kipindi hiki mtoto anatakiwa kuwa chini ya uangalizi wa wazazi wake mwenyewe.
Laa sivyo utamkuta siku moja ndani ya ndoo ya maji akiwa kichwa chini miguu juu sijui utalia na nani?