Monday, May 18

Vizazi Vitatu Wanawake...

Mdau Jada aliisherehekea vizuri siku ya wanawake, maana alipata picha adimu. Hapa amepakatwa na bibi mzaa mama, aliyesimama kulia ni bibi mzaa baba na wa kushoto ni mama, Prisca.

2 comments:

Anonymous said...

Lovely pics...mmependeza sana!

Mama Michael said...

Ee Prisca umependeza na mrembo wako amekua mkubwa,big up girl umetoka bomba........mama Michael