Mdau Prisca Mbeswa aka Mama Jada anauliza hivi..."Jamani mpango wa kuongeza mtoto wa pili unaendaje?Maana wote mna mtoto 1 nao wameshakua wakubwa wanahitaji wadogo zao."
Heee kumbe humu wengi wenu ni watoto wadogo mimi nina uzoa wa tatu na bado naendelea kuzaa!!!! Heee eeeheeee hadi nipewe nishani ya jemedari wa kuzaa!!! Mwayegu nawatania nimefika mwisho naachieni wadogo zangu nanyi mzae muijaze dunia!!! Mimi watoto watatu wananitosha sana.
DADA HAPO JUU UMENIFURAHISHA, ILA MI NAHISI ULIMZIMIA KWAKUA ALIKUA ANAITWA HASSAN. YANI LAZMA HIO HASSAN NI MOJA YA VIGEZO VILIVOKUVUTIA KWAKE. ILA NIMEPENDA STORY YAKO, MUNGU AMJAALIE HUSSAM AWE JASIRI NA MWENYE IMANI YA MOLA WAKE

7 comments:

Irene watatu hawatoshi dada, umeshasema mwenyewe tunatakiwa tuijaze dunia, inabidi kufuata mfano wa hii familia
http://www.duggarfamily.com/index.html
DADA HAPO JUU UMENIFURAHISHA, ILA MI NAHISI ULIMZIMIA KWAKUA ALIKUA ANAITWA HASSAN. YANI LAZMA HIO HASSAN NI MOJA YA VIGEZO VILIVOKUVUTIA KWAKE. ILA NIMEPENDA STORY YAKO, MUNGU AMJAALIE HUSSAM AWE JASIRI NA MWENYE IMANI YA MOLA WAKE
DADA HAPO JUU UMENIFURAHISHA, ILA MI NAHISI ULIMZIMIA KWAKUA ALIKUA ANAITWA HASSAN. YANI LAZMA HIO HASSAN NI MOJA YA VIGEZO VILIVOKUVUTIA KWAKE. ILA NIMEPENDA STORY YAKO, MUNGU AMJAALIE HUSSAM AWE JASIRI NA MWENYE IMANI YA MOLA WAKE
HIO FAMILIA KIBOKO, NDO MPAKA MAYAI YAISHE AU?
mi ndo zishaanza dalili za mwanzo apa vichefuchefu balaa, naomba mungu anivushe nimalize salama
wenzetu mara tu mmeshasahau zile shida za ujauzito, uchungu na malezi ya new born mnawaza na kuongeza wa pili!! haya kila la kheri.
Post a Comment