Monday, June 29

Beautiful Cleopatrarita

Mdau mpya, Cleopatrarita Cleopart Rutasitara, ambaye amezaliwa siku ya nane nane, tarehe : 8/8/2007, amejiunga nasi kupitia kwa mama yake, Belinda Kato.

2 comments:

Anonymous said...

nice pic. mtoto amefanana saana na baba yake.

Miyam said...

bonge ya pozi, safi sana mtoto mchanganyiko huyo mchaga & Muhaya.