Monday, June 15

Happy Birthday Brenda

Mdau Brenda akisherekea kutimiza miaka miwili.



Mama yake Kanta John anasema, "mtoto huyu ananipa hope, strenght ya kujishughulisha kila kukicha ili baadae asipate shida i love her much more. thanks"

1 comment:

Anonymous said...

duh baba na mama wanalipa si mchezo

safi sana