Tuesday, June 16

Tunasherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika

Wadau, haka kaji-shule kanabana sana, yani sina hata muda ila hii siku maalum sijaisahau.
Nawatakia wadau wote siku njema ya Mtoto wa Afrika.

No comments: