Thursday, June 11

Happy Father's Day

Wadau nilipitiwa kidogo, leo ni siku ya akina baba, so kwa akina baba wote Happy Father's Day.

Kwa baba yangu, Mr Alipo, thanx for everything.

Kwa mume wangu kipenzi, You are my everything.

Kwa wanaume wooote wanaoyazunguka maisha yangu (kaka, mwanangu), you are my sunshine.

Kwa wadau wote wababa wanaonisapoti, you make the world complete.

3 comments:

Anonymous said...

I guess Father's Day ni week ya tatu katika mwezi June. Au bingo wanasherekea different date?

tamara said...

nafikiri father's day ni june 21st, nilishtuka mno nikifikiri nimesahau such a special day for my hubby and my dad ikabidi ni google. au bongo ni siku tofauti? naomba mnirekebishe mimi nipo nje ya bongo kwa sasa.

Anonymous said...

baba na mtoto kuwa karibu ivi INAPENDEZA SANA na inabidi wababa wa kibongo wawe mfano jamani

asante imenifundisha kitu apa