Wadau nilipitiwa kidogo, leo ni siku ya akina baba, so kwa akina baba wote Happy Father's Day.
Kwa baba yangu, Mr Alipo, thanx for everything.
Kwa mume wangu kipenzi, You are my everything.
Kwa wanaume wooote wanaoyazunguka maisha yangu (kaka, mwanangu), you are my sunshine.
Kwa wadau wote wababa wanaonisapoti, you make the world complete.