Friday, June 5

Mliolishangaa Jina la X,Vipi Hili?

Mdau mpya na m-sweeet kichizi, jina lake ni Alcuin.
Alipewa na babu yake, Dr Waane mara tu baada ya kuzaliwa huko Bugando Hospital, January mwaka huu.
Wadau mmesema jina la X nimelitoa wapi, najua wengi mtauliza, na mimi pia namtuma bibie Frida Waane amuulize babu aliilitoa wapi jina hili, maana yake nini, asili yake wapi?

3 comments:

Anonymous said...

Hi Jiang!!

been visiting your site for a while now... good work!

Alcuin of York! Northumbria UK... one of the earliest teachers and scholars and poets... born in 735. Architects of the Carolingian Renaissance...


Wikipedia

Anonymous said...

NAMPONGEZA FRIDA KWA KUPATA BABY BOY. MIMI MANKA MALLYA

Anonymous said...

NAMPONGEZA FRIDA KWA KUPATA BABY BOY. MIMI MANKA MALLYA