Alipewa na babu yake, Dr Waane mara tu baada ya kuzaliwa huko Bugando Hospital, January mwaka huu.
Wadau mmesema jina la X nimelitoa wapi, najua wengi mtauliza, na mimi pia namtuma bibie Frida Waane amuulize babu aliilitoa wapi jina hili, maana yake nini, asili yake wapi?
3 comments:
Hi Jiang!!
been visiting your site for a while now... good work!
Alcuin of York! Northumbria UK... one of the earliest teachers and scholars and poets... born in 735. Architects of the Carolingian Renaissance...
Wikipedia
NAMPONGEZA FRIDA KWA KUPATA BABY BOY. MIMI MANKA MALLYA
NAMPONGEZA FRIDA KWA KUPATA BABY BOY. MIMI MANKA MALLYA
Post a Comment