Friday, June 12

Valencia na Vicent - Kama Pacha

Valencia na Vicent Kusekwa ndani ya pozi kali.
Mama yao, Lulu Kilonzo, aliniambia hawa watoto wako kama mapacha, sikuamini sana, ila sasa naanza kuamini, maana hebu check midomo yao ya chini, na wanavyoangalia, si utani wanafanana sana.

3 comments:

Anonymous said...

Watoto wazuri hawa.... nimewapenda. God bless you.

Anonymous said...

THEY ARE SO CUTE.

Anonymous said...

soooooooooooooooo cute