Tuesday, July 7

Berlin Hukosi Cha Kufanya na Mwanao Wikend!

Sweet!

Asipochafuka atajifunzaje?

Tatizo ni hizo rangi walizowavalisha.


Huyu sijui kapotea, au anashangaa nini sijui?
Hii ni sama huku, kwa hiyo ndio muda wa vishughuli huku. Kila wikend kuna vitu kibao vya kufanya kuanzia wakubwa hadi watoto, na vingi ni bure, so hela sio issue. Hapa ni kama kabeach fulani hivi, Berlin hamna beach ya ukweli, watoto na watu wazima wanapotez muda hapo wakichezea mchanga!

1 comment:

Anonymous said...

ndo maana watoto wa wezetu wanakua na akili,wachangamfu,wajanja kwa akili,wavumbuzi nk

exposure muhimu