Wednesday, July 29

Happy Belated Birthday Blessing

Mdau Blessing alisherehekea siku yake ye kuzaliwa tarehe 7 July mwaka huu alipotimiza miaka miwili.
Mama mtu, Teddy Manyama anasema, "Nampenda sana baby wangu ananipa furaha moyoni kila ninapomwangalia na nguvu ya kusonga mbele. Namuomba Mungu ampatie maisha marefu na yenye mafanikio. I love you."
*****
Kwa kweli huyu mtoto alizaliwa siku nzuri sana tarehe saba, mwezi wa saba, mwaka 2007(07/07/07) na ilikua siku ya Jumamosi. Naikumbuka sana hii siku maana watu wengi walioana katika siku hii (hasa wazungu) wakiamini kwamba ni siku yenye bahati kwani namba saba ni namba ya bahati. Naamini mtoto huyu ni mwenye bahati ya pekee maana amezaliwa siku hiyo.
Wadau tunamtakia maisha marefu yenye kheri na fanaka tele.


Birthday girl mwenyewe, kapendezaaa, na hiyo miwani hapo juu ndio imenogesha kabisa.

Keki ndio iyo hapo.

'...kata keki tule...kata keki tule...'


Jamani keki kubwaa!


Hapa Blessing akiwalisha keki dada zake.


Hapa akimlisha BFF wake.


Party ilinogeshwa na nyakula mbalimbali.


Jamani kuwa mama raha.

2 comments:

Anonymous said...

hongera Blessings umependeza na ukuaaa sana. Happy birthday dear

Anonymous said...

Ni kweli ni raha sana kuwa mama na mmpendeza kweli mmechisha mama na mwana.