Mama mtu, Teddy Manyama anasema, "Nampenda sana baby wangu ananipa furaha moyoni kila ninapomwangalia na nguvu ya kusonga mbele. Namuomba Mungu ampatie maisha marefu na yenye mafanikio. I love you."
*****
Kwa kweli huyu mtoto alizaliwa siku nzuri sana tarehe saba, mwezi wa saba, mwaka 2007(07/07/07) na ilikua siku ya Jumamosi. Naikumbuka sana hii siku maana watu wengi walioana katika siku hii (hasa wazungu) wakiamini kwamba ni siku yenye bahati kwani namba saba ni namba ya bahati. Naamini mtoto huyu ni mwenye bahati ya pekee maana amezaliwa siku hiyo.
Wadau tunamtakia maisha marefu yenye kheri na fanaka tele.
Keki ndio iyo hapo.
2 comments:
hongera Blessings umependeza na ukuaaa sana. Happy birthday dear
Ni kweli ni raha sana kuwa mama na mmpendeza kweli mmechisha mama na mwana.
Post a Comment