Ingawa kajishule kamechanganya nam-miss sana Xchyler, natamani ningekua namuona kila siku, naona nakosa mengi sana, lakini hamna nnaloweza fanya juu ya hilo zaidi ya kuangalia picha zake kila siku na kuhesabu siku zilizobaki. Bado siku 20 tu!
Wanasema mapenzi ya ndoa ya wawili uwa matamu kweli kweli lakini baraka inapotembelea ndani au mnapojaaliwa kupata ka-Baby mama mapenzi yake anahmishia kwa mtoto, ni kweli, badala ya kumiss Babake! Six pole ila usilie tu maana X akikua tu na kuanza utukutu ndo nawe utakumbukwa na atimaye kumisiwa.
Pole sana. I know exactly how you feel as I have had the same experience ya kuwa masomoni na kumuacha mtoto nyumbani. Pia farijika kwa kujua kuwa he is in good hands with his Dad and as happy as can be. Usijali mama mtoto siku hua zinasonga and soon you will see your baby.
2 comments:
Wanawake Bwana!! wamiss mtoto tu?
Wanasema mapenzi ya ndoa ya wawili uwa matamu kweli kweli lakini baraka inapotembelea ndani au mnapojaaliwa kupata ka-Baby mama mapenzi yake anahmishia kwa mtoto, ni kweli, badala ya kumiss Babake! Six pole ila usilie tu maana X akikua tu na kuanza utukutu ndo nawe utakumbukwa na atimaye kumisiwa.
Lakini ni kweli Mtoto tuuuuuuuuu???

Post a Comment