Hii nimetumiwa na mdau wetu Dr Sima, watoto chini ya miaka miwili wanasoma.
Yani wanajua kusoma kabla ya kujua kuongea, watoto hao wamefundishwa kusoma wakaweza, mi kwa kweli nimeshangaa, X wangu nilimwacha hata kuongea bado, naskia siku hizi anajua kusema sitaki, sipati picha awe anajua kusoma.
Kuwaona na kujua jinsi ya kumfanya mwanao nae atawezaje kujua kusoma kabla ya kuongea BONYEZA HAPA.
1 comment:
hizi ni biashara za wamarekani,program inaitwa my baby can read, it cost a lot ni dollar 200 but kama mzazi una muda is worth it.
Post a Comment