Katika pitapita zetu tulitembelea kijiji kimoja huko Munich ndio nikakuta hawa watoto wanaendasha baisikeli.
Huku Germany, hasa Berlin, baisikeli ndio usafiri mkuu, watu wanapenda sana kuendesha baisikeli, kuliko kutumia magari au usafiri mwingine, kwa hiyo watoto wanafundisha kuendesha baisikeli mapema.
No comments:
Post a Comment