Thursday, August 6

Happy Birthday Ervin

Cuuuuuuute!
*****
Leo tunasheherekea siku ya kuzaliwa mcute huyu, Ervin Choya ambapo anatimiza mwaka mmoja. Wadau wote tunamtakia maisha yenye kheri na fanaka tele.
Mama yake Eugene Chonya anasema "Happy Birthday My Little Boy ". Kwa niaba yangu , mama yako and your lovely sister Emily tunakutakia kilala kheri katika siku yako ya kuzaliwa.Tunakuombea mungu uwe kijana mwema na mwenye mafanikio.Your special son in our family na tunakupenda sana."

2 comments:

Anonymous said...

Congratulation Ruth! dah kijana amekua kweli kweli na kazidi kufanana na babaye! Happy birthday Ervin!!!

Anonymous said...

ervin uko cute hadi unafurahisha,nawapa hongera zao wazazi