Monday, August 31

Mdau Jonny Anaendelea Vizuri


Wadau nadhani mnakumbuka tuliambiwa mdau Johnny wa Mwanza alikua anaumwa( ugua pole Jonny)...sasa naona maombi yenu yamesaidia na mama yake, Emmiliana Edward, anasema mdau anaendelea vizuri.
"Nafurahi kukujulisha mdau wako wa mwanza Jonny sasa anaaendelea vizuri. Namshukuru Mungu ameanza kupendelea matunda na juice kidogo." Mama Johnny.
Hata hapa anaonekana amechangamka, Mungu azidi kumlinda.

No comments: