Friday, August 14

Pacha wa Audrey - Christian

Si mmempenda Audrey? Sasa mnasemaje kuhusu huyu pacha wake wa kiume, anaitwa Christian...nahisi atakua handsome kama Christian Ronaldo...watoto wazuri, sijui mamamtu, Annastacia Felbo, anawalisha nini?

1 comment:

Anonymous said...

tuwekee hizo picha za mapacha wa anasitazia mpangala felbo wa denmark