Thursday, August 13

Pozi la Aurelia


Jamani mtoto ana pozi huyu balaa, yani yeye akiona kamera tu, lazima ale pozi.
Huyu ni mdau wa siku nyingi...anaitwa Aurelia.

1 comment:

Anonymous said...

she is so cute