Wednesday, September 2

Aaron - Mdau Mpya...wa Zamani

Mdau huyu anaitwa Aaron (miezi 3), namwita mdau mpya wa zamani maana mama yake Mary Mselem anasema, mdau huyu alikua anatufuatilia tangu ana mwezi mmoja tumboni.

No comments: