Friday, September 11

Beautiful Jestus & Jessalyn

Jestus na Jessalyn wamependeza na mama yao Alice Ngumbwene.
Mi nataka nimuone na baba, kama watoto wamemega sana kwa mama ... au wadau mnaonaje? Ila inaweza ikawa baba na mama wanaelekeana.

3 comments:

Anonymous said...

You look nicewi wit the JJs Alice.

Anonymous said...

jiang !! my JJs wamemega sana kwa baba yao mie ni kama pica tu labd anirevenge round ya tatu ahahahaha

Anonymous said...

miwani............ imenikumbusha enzi zile mtu unataka utoke bomba kwenye picha, basi hata perfume utajipulizia