Baada ya kuwaangalia wadau wenzao siku nyingi leo Ryan Godphrey & Ronald Godphrey wameamua kuwatakia Ramadhani njema. Hapa wako na binamu yao Colllins.
Hawa sio mapacha, Ryan amezaliwa 2005 na Ronald amezaliwa 2007.
Ma'mtu Fatuma Mmbaji anasema, "kwa upande wangu watoto ndio maisha yangu nawapenda sana watoto wangu ni watoto wazuri na wenye upendo sana."

2 comments:
safi sana watoto mmependeza sana ryan kafanana sana na baba yake ronald kafanana na mama yake.
hongera mama Ryan & Ronald kwa matunzo mazuri unayowapatia watoto wako mungu akujalie maisha marefu yenye afya ili uendelee kuwalea vema
jamani i love them, they are real handsome! mwaaaaaa
Post a Comment