Tuesday, September 1

Full Jeans

Jane Kenneth Nchimbi (5yrs, kushoto), Lisa Kenneth Nchimbi (3yrs, kati) naMyra Dickson Nchimbi (4yrskulia), wanawapa hi, ndani ya full jeans. magauni yamewatoa mchicha.

3 comments:

Anonymous said...

Jamani hii ni kweli full jeans, mmependeza sna walongo wangu. maisha mema na muendele kupendaza kama mnavyopendeza sasa. hongela sana wazazi kazi nnzuri sana.

Anonymous said...

Jamaani nimewapenda hawa watoto...there are soooo cute ^o^

Anonymous said...

jamani wakunyumba kwa kweli mmpo ndani ya full jeans na mmependeza saaaaaaaaaaaaaaaaaaana, muendelehe kupendeza hivyohivyo. hongela sana wazazi ni kazi mzuri