Mdau Erick Raphael ambaye ni mzaliwa wa tarehe 09 mwezi wa 09, alisherehekea kutimiza miaka 13 jumamosi hii huko Kurasini, nyumba za wafanyakazi wa Railway, sasa hivi sijui ndio TRL.
Kata keki tuleeeeee....
Wadau walikua wengi sana, so keki kwa foleni, la sivyo vurugu ingezuka, hapa wamejipanga wanamsubiri mwenye sherehe. Huyu mdau wa mbele anasubiria kwa pozi.
Sasa wadau wanalishwa keki....
Baada ya kula na kunywa kwa sana, sasa ni kuyarudi magoma! Si mchezo, inaelekea ilinoga sana.
Mama na Mwana inamtakia mdau Erick maisha merefu yenge heri na baraka tele.
No comments:
Post a Comment