Thursday, September 17

Vijino Viwili Vinakula Mhindi

Mdau Herieth Mpogolo kakua sana siku hizi, na anazidi kuwa mrembo, hongera Regina Kumba kwa kukuza, hapa anatuonyesha anavyokula mhindi kwa vijino viwili.

No comments: