Tuesday, September 15

Happy Birthday Zeina

Sherehe ya kutimiza mwaka mmoja wa kuzaliwa wa mdau Zeina, ilikua tareha 09/09/09.
Bonge la keki.
Mdau akiwa na mama.
Wadau kibao walikuwepo kutuwakilisha katika kukata keki, namuona mdau Brian Kamugisha upande wa kulia.

Mungu amjaalia mdau Zeina maisha marefu yenye heri na fanaka tele.

1 comment:

Anonymous said...

Mambo Jiang,

Mtoto wangu anatimiza mwaka 1 tarehe 21/02/2010 sasa nimeipenda hiyo keki ya mtoto Zeina, je naweza kupata contact za mtu aliyetengeneza maana mimi niko morogoro.

mama kim