Tuesday, September 15

Vodacom Watoto Yatima wa Bukoba Mjini

Hivi karibuni kitengo cha misaada cha Vodacom, Vodacom Foundation kiliandaa futari kwa ajili ya watoto yatima wa Bukoba Mjini. Katika hafla hiyo Vodacom pia ilikabidhi misaada mingine ya kibinadamu kwa watoto hao.


No comments: